Amiry makoye
Member
- Feb 7, 2015
- 12
- 3
Kwakuwa dada zetu wanauza mwili kwa madai ya kwamba ajira hakuna na maisha ni magumu, na hiki kitu serikali ya Tanzania inakipiga vita.
Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?
Je! Kuna njia mbadala ya kuwasaidia hawa madada ili wasiendelee na biashara hii!?