Tufanye kila tuwezalo Tumzuie...

Tufanye kila tuwezalo Tumzuie...

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,369
Reaction score
15,110
Hii Miaka 10 inatosha sasa, tufanye kila tuwezalo, tumzuie huyu jamaa asituchagulie Mrithi wake, hii itakuwa ni kupoteza miaka mingine 10 ijao kama tulivyopoteza hii iliyopita!
P
iga, Ua Garagaza huyu Jamaa ikiwezekana hata vidole vyake tuvikate lakini tusithubutu Tumpe nafasi ya kutuchagulia Ajaye...
 
Wasting another ten years? It is unacceptable!!!
 
Hii Miaka 10 inatosha sasa, tufanye kila tuwezalo, tumzuie huyu jamaa asituchagulie Mrithi wake, hii itakuwa ni kupoteza miaka mingine 10 ijao kama tulivyopoteza hii iliyopita!
P
iga, Ua Garagaza huyu Jamaa ikiwezekana hata vidole vyake tuvikate lakini tusithubutu Tumpe nafasi ya kutuchagulia Ajaye...

Kwa mawazo yangu tumechelewa. Huyu jamaa kajipanga na ameshaweka mikakati mizito sana, tatizo letu ni kutafuta shuka asubuhi. Hata hivyo penye nia pana njia.... tukishirikiana tutafanikiwa.
 
hatujachelewa. Kinachotakiwa ni mimi na wewe na yule kubadili mitazamo yetu na kuacha ushabiki na itikadi tumpe mwenye uwezo na upeo wa kutusimamia katika kusaka maendeleo. Hata hivyo, wateule wake ni dhaifu kuliko maelezo. Tubadilike kwani pamoja twaweza!
 
Mi naamini chanzo cha umaskini wangu ni huyu jamaa na wa2 wake.la mcng ni kuungana kwa pamoja na kumpinga ac2letee wa2 wake .
 
Kwa taarifa yako kundi lililkataliwa na Nyerere linarudi. Lowasa ndani, mtakoma
 
Watanzania tumeshazoea shida tukiliondoa hilo jamaa nani atatupatia shida tulizozoea!!!??
 
Hii Miaka 10 inatosha sasa, tufanye kila tuwezalo, tumzuie huyu jamaa asituchagulie Mrithi wake, hii itakuwa ni kupoteza miaka mingine 10 ijao kama tulivyopoteza hii iliyopita!
P
iga, Ua Garagaza huyu Jamaa ikiwezekana hata vidole vyake tuvikate lakini tusithubutu Tumpe nafasi ya kutuchagulia Ajaye...

Baada ya kuchemsha bmk mnaanzisha mada za kututoa kwenye point kuwa Laana ya JKN iko juu yenu na hamtaikwepa.
 
Mi naamini chanzo cha umaskini wangu ni huyu jamaa na wa2 wake.la mcng ni kuungana kwa pamoja na kumpinga ac2letee wa2 wake .

chanz cha umaskini wako ni wewe na baba ako.
Km baba ako angewekeza ipasavyo na kuwa na ziada ya kile alichowekeza ww usingekua maskini.

Kuwa maskini ni kuchagua tu,na kuamua. Ww umechagua
 
Ila kiukweli sisi watanzania tumelala sana tena usingiz wa pono! Labda tukifanya mabadiliko kwenye mfumo wa utawala kutatusaidia kubadilika kiuchumi lol
 
Hawezi thubutu!

Na wagombea wote wa uraisi sidhani kama kuna hata mmoja atataka kuambatana naye!

Believe me,yoyote atakaye tumia jina la huyo weak kutafuta kura,he'll be a biggest disappointment!

MTANGANYIKA DAIMA!
 
Back
Top Bottom