lumia 1020 imedrop hadi dola 300-350 kwa budget hio unaipata kabisa. ila tatizo bongo tunachelewa kufanya mabadiliko ya bei maana hii simu mwaka jana ilikuwa inauzwa dola around 600.
ukipata duka ambalo wanaleta stock mpya mara kwa mara anaweza akapata kwa bei hio.
Chief Mkwawa Pole na Kazi..
Mm Pia bajeti yangu ni Laki Tano naitaji simu nzuri yakutumia campun eyote naomba unishauri sim gan nzuri kwa hiyo bajeti sana sana na mimi nacho angalia ni camera ila sim ikiwa adroid itakuwa poa naomba unishauri ninunuwe sim gani.
Hivi kwa mazingira ya ongo ukizingatia vitu kama uwezo wa kukamata network na uimara ipi nzuri kati ya lg 2, iphone 5 na sony xperia z1??
chief mkwawa tupe vipande vya hii huawe mate 7 maana wachina nao wanauza hii cim milion na ushee je ni justifiable kweli au wafanyabiashara wa bongo tu kuipandisha?
Chief Mkwawa Pole na Kazi..
Mm Pia bajeti yangu ni Laki Tano naitaji simu nzuri yakutumia campun eyote naomba unishauri sim gan nzuri kwa hiyo bajeti sana sana na mimi nacho angalia ni camera ila sim ikiwa adroid itakuwa poa naomba unishauri ninunuwe sim gani.
chief mkwawa tupe vipande vya hii huawe mate 7 maana wachina nao wanauza hii cim milion na ushee je ni justifiable kweli au wafanyabiashara wa bongo tu kuipandisha?
Dah sasa i phone btery haiwezi hata kumaliza masaa 12 ukiwa unaitumia nikiwa vijijini si tabu sana. Hicho ndio kikwazokwa hapo, i5 then g2 hafu z1... ila swala la msingi unavonunua simu ni: OS unayotaka, camera n led flash, dual/single sim, battery, screen technology,...
Dah sasa i phone btery haiwezi hata kumaliza masaa 12 ukiwa unaitumia nikiwa vijijini si tabu sana. Hicho ndio kikwazo
Dah sasa i phone btery haiwezi hata kumaliza masaa 12 ukiwa unaitumia nikiwa vijijini si tabu sana. Hicho ndio kikwazo
tafuta xperia z3c ila bei itakuwa kubwa kidogo kuliko hizo kama kwa iphone 5 unapata masaa 12 hii unaweza pata kama masaa 30 kwa matumizi hayo hayo. pia vijijini simu zinakaa na chaji zaidi kuliko mijini sababu wao hawana 3g wana edge tu ambayo haili sana chaji
kweli kabisa. Mimi htc one m7 imegoma kabisa kushika mtandao. Mafundi wamechemsha
kaka simu nzuri na hata market waliyoilenga hawawezi kuripua, flagship za huawei huwa ni dola 100 hadi 200 rahisi compare na flagship za kina samsung/htc/lg/sony na sijaona simu ya huawei yenye price tag ya milioni na ushee hivyo kuna uwezekano mkubwa wanataka kupiga hela ndefu hao.
kama alivyosema Secret Service hii simu inatakiwa iuzwe around 800,000 hadi 900,000. chengine sina uhakika kama itapata lolipop na sijaskia huawei waki confirm hilo maana wachina huwa wanazingua kusuport simu zao.
p8 ni simu nzuri ila bado hazijafika level za kina s6, g4, m9. processor yake ni ya kawaida sana. hata sifahamu bei ya mate 7 ni ngapi now