donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Ulituma ombi ili mwenyekiti akutongozee?
Naaam, na iwe hivyo bwana westgate, sorry sixgates
Hahahaa ila jitahidi uwe karibu na Heaven on earth pia punchlines ziwe matata.
Hahaha aisee, kumbe Heaven on earth mpango mzima eeeh? Basi sawa, sema unaweza kukaa karibu na jiko na usiwe wa kwanza kupakuliwa msosi!
Haaa ila ukifa kw kiu ziwaani wewe utakuwa mjinga wa mwisho
Aisee mkuu kama huna bahati ndugu yangu bora ujikalie mbali tu,,,,,,,mimi humu kila nikijitahidi napewa za mbavu,,,,,,,,nimeamua kuwa peke yangu hahahahaah!!
kumbe tupo wangu aiseeAisee mkuu kama huna bahati ndugu yangu bora ujikalie mbali tu,,,,,,,mimi humu kila nikijitahidi napewa za mbavu,,,,,,,,nimeamua kuwa peke yangu hahahahaah!!
kumbe tupo wangu aisee
ndo hivo mkuuMkuu na wewe hola?
Naomba sana, mashavu wanapewa wengine,
Wengine wananishauri sijui niende kwa mganga pengine!
ndo hivo mkuu