Tuendelee kumchangia Lissu tuachane na CCM

Lissu atauawa kwa michango yenu ya jero jero.Kubalini mlikosea sana kukataa matatibabu ya serikali kwa kisingizo cha kuwa atauawa.
Sasa hivi hali imekua ngumu,mgonjwa anahitajika kusafirishwa nje,uwezo wa madaktari wa kenya umefika ukomo,bili inazidi kupaa,badala ya hata mkakope benki au mtumie ruzuku kumpeleka ughaibuni,mnafanya siasa

yani CCM mnalazimisha mgonjwa aliyekuwa anakaribia kufa apelekwe muhimbili kusubiri aandikiwe rufaa ndiyo aende nje ya nchi??

MaCCM mission yenu ya kummalizia Lissu muhimbili tuliibaini na tukampeleka Nairobi kwa jero-jero zetu na soon tutampeleka USA kwa hizo jero-jero zetu, kwa sasa tunasubiri tu madokta wa Nairobi watoe recommendations.

CCM ni wauwaji na mmeshindwa juu ya hili ndiyomaana mmetaharuki.
 
Huna tofauti na wale wananchi walioua watafiti wa ardhi kwa kusema ni nyonya damu!mmekua brain washed vizuri sana na viongozi wenu.All the best
 
Kuna maswali ya msingi mnashindwa kujibu ndugu yangu kabombe Kwanza watu wanauliza wale watoto wa Lucky Vincent kwenda kwao Marekani rufaa ilitoka Muhimbili?

Watu wanataka kujua kwamba wabunge wote waliotibiwa nje ya nchi ni familia zao ziliomba msaada serikalini ama bunge ndilo liligharamia matibabu yao. Inakuwaje kwa Lissu familia inatakiwa iandike barua?

Kama kina Mbowe kwenda Ikulu kuongea na Kikwete mliwasimanga kwamba walifuata Juisi, je matibabu ya lisu si ndiyo kila akichangia hoja mtakuwa mnamsimanga kuwa hana shukrani?
 
Kuna maswali ya msingi mnashindwa kujibu ndugu yangu kabombe Kwanza watu wanauliza wale watoto wa Lucky Vincent kwenda kwao Marekani rufaa ilitoka Muhimbili
hapo unahamisha magoli.wale watoto walipata ufadhili,kama chadema mna wafadhili mpelekeni Lissu
Watu wanataka kujua kwamba wabunge wote waliotibiwa nje ya nchi ni familia zao ziliomba msaada serikalini ama bunge ndilo liligharamia matibabu yao. Inakuwaje kwa Lissu familia inatakiwa iandike barua?
Utaratibu wa mbunge akiumwa,bunge linatibu kama matibabu ni ya hali ya juu,inapeleka taarifa serikali inachukua jukumu.
Suala la barua ni utaratibu wa kiutawala,kwa sababu serikali haijui mgonjwa yupo chini ya chadema au familia.Chadema wanatumia vibaya ugonjwa wa Lissu kwa kujipatia ujiko wa kisiasa.
Kama kina Mbowe kwenda Ikulu kuongea na Kikwete mliwasimanga kwamba walifuata Juisi, je matibabu ya lisu si ndiyo kila akichangia hoja mtakuwa mnamsimanga kuwa hana shukrani?
Kumbe mnaogopa masimango?Kupona kwa Lissu ni kipaumbele cha kwanza kuliko masimango ya ccm.
Usiogope kusimangwa,Lissu kutibiwa na serikali ni haki yake
 
Serikali inakubali kumtibu Lisu Wamemuuliza ndugai? Jana waziri wa afya alijinasibu kutoka pesa ya kutibiwa Lisu popote pale kwa gharama yoyote spika alikataa mpaka Lisu akatibiwe India pekee huyu waziri na spika nani zaidi Wamepata wapi huruma hiyo jumapili walikataza watu wasimwombee madai ya kumtibia ni huruma au kujikosha.
 
Kupona kwa Lissu si kipaumbele cha kwanza cha CCM bali CHADEMA. CCM haimuhitaji Lissu bali CHADEMA ndiyo inaujua umuhimu wa Lissu!
Fine!lakini msitumie ugonjwa wake kujipatia kiki ya kisiasa,huu si wakati wa malumbano,mkabidhini mgonjwa kwa familia yake.Hivi wewe unaweza kuwa na uchungu na Lissu kuliko mama yake mzazi?
 
Fine!lakini msitumie ugonjwa wake kujipatia kiki ya kisiasa,huu si wakati wa malumbano,mkabidhini mgonjwa kwa familia yake.Hivi wewe unaweza kuwa na uchungu na Lissu kuliko mama yake mzazi?
Lissu hakupigwa risasi kwa sababu ya Familia yake bali ni kutokana na misimamo yake dhidi ya CCM inayotokana na U-CHADEMA wake!
 
Lissu hakupigwa risasi kwa sababu ya Familia yake bali ni kutokana na misimamo yake dhidi ya CCM inayotokana na U-CHADEMA wake!
Kwanza ni familia halafu chadema wewe,unajiona una chungu kuliko mkewe.
Kwa mawazo mlifanya hivi hivi mwishowe mmetelekeza familia,Daudi mwangosi na hata Ben Rabiu Saanane mmezitupa familia baada ya kuteka nyara hoja za masaibu yao na kuzifanyia siasa
 
Mimi naishi Iringa na Mwangosi alikuwa ni rafiki yangu binafsi. Kwa ivo mambo ya Mwangosi usiyaelezee kama vile unayajua wakati huna ulijualo. Kuhusu Mawazo ulitaka CHADEMA ifanye nini, wakati wana CCM waliomuua Polisi mpaka sasa imeshindwa kuwakamata? Ben Saanane hadi kumbukumbu zake za mawasiliano zimefutwa, unadhani CHADEMA wanao ubavu wa kuzifuta na unadhani aliyezifuta hakuna kitu alichokuwa anaficha?

Nyie ndiyo nyie halafu mnataka kuwaangushia jumba bovu CHADEMA!
 
Back
Top Bottom