Kumbe ndio lengo lenu muue ninyi halafu mtake wengine ndio wawajibike- kwanza kitendo cha polisi kushindwa kuzuia kifo hiki ni aibu kwa CCM na katibu wao wa Mkoa aliyekuwa msaidizi wa Nnape , ndugu Sixtus Mapunda.
M4C itaendelea kuwepo pamoja na hujuma zenu na mbinu zenu chafu.
hii promo peleka kwenye mitandao ya wajinga
Tumushuhudia yaliyotokea pale Morogoro kwenye maandamano ya CHADEMA, ambapo mtu mmoja alifariki kwenye purukushani na polisi.
Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kutokea mauaji na chanzo kikiwa ni wao kutotii maagizo waliyopewa na jeshi la polisi, kesho yake wakataka kuendelea na mikutano yao ya M4C Iringa, kabla ya kuzuiwa na polisi
Kulikuwa na haja gani ya kuendelea na mikutano yao wakati wamesababisha mauaji? Hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa hawana utu ndani yao
Nawasihi Watanzania tuendelee kuwakataa hawa watu popote watakapoofika kutuletea propaganda zao
Hata kama wao hawahusiki moja kwa moja na mauaji, lakini yalitokea kwenye maandamano yao, ilipaswa kuahirisha shughuli zao ili angalau wahudhurie mazishi
Takataka hii tupa jalalani
tatizo lenu M4C hamuwezi kukabiliana na changamoto, unataka kusema kile kifo hakina maana yoyote kwenu?
ndugu wa marehem wanalalamika, hawajapata msaada wowote toka MOVEMENT 4 CHANCE Kwenye msiba
umeua wewe, ukashawishi ndugu wasipokee kitu, .. KWA UJASIRI WAMEPOKEA!... unaendelea kueneza pumba!ndugu wa marehem wanalalamika, hawajapata msaada wowote toka MOVEMENT 4 CHANCE Kwenye msiba
Sasa wewe uiamini ili iweje?.. Huiamini!... hujawahi kuiamini!... utaiaminije?... Wewe nenda kapige epa na kutesa watu mabwepande!!!!...Tumushuhudia yaliyotokea pale Morogoro kwenye maandamano ya CHADEMA, ambapo mtu mmoja alifariki kwenye purukushani na polisi.Cha kushangaza ni kuwa pamoja na kutokea mauaji na chanzo kikiwa ni wao kutotii maagizo waliyopewa na jeshi la polisi, kesho yake wakataka kuendelea na mikutano yao ya M4C Iringa, kabla ya kuzuiwa na polisiKulikuwa na haja gani ya kuendelea na mikutano yao wakati wamesababisha mauaji? Hii inadhihirisha kuwa hawa jamaa hawana utu ndani yaoNawasihi Watanzania tuendelee kuwakataa hawa watu popote watakapoofika kutuletea propaganda zao