Tuendelee au nimuache aende zake

Watu washaichakata wee mi kuna mmoja ivo ivo alijirudisha ila aliniacha mwenyewe nikapona hali nikamtoa kabisaaa , nikaja sikia stroy zake kuna kibabu kimemfungulia duka kinamla tu mwishowe duka likafa akawa anafanya kazi restaurant analiwa liwa ovyo, mi nishamtoa moyoni ata sikushtuka nachakata mbususu mpya kila dei,

Sa akawa anajichatisha nilivyosoma saikolojy yake ni kwamba tuendelee tulipoishia nikamwambia we tafuta mtu mfanye maisha umri ushasogea na hana mtoi akashangaa eti ni mimi ninaezungumza maneno ayo😄!
 
Ushauri
Never ever accept a snake who bite u previously..to bite u twice..utakuja kulia sana..pia Ni kupotezea muda..miaka mi5 ...unasubiria tu...labda kama huna Malengo YA kuoa au kuolewa
 
Huyo atakuumiza tena. Usikubali kurudisha urafiki na mtu aliyekuumiza kwenye pesa, mapenzi na character. Nyoka hujivua gamba la juu ya mwili wake ili awe mkubwa na mkali zaidi. Piga chini na kaa nae mbali. kwanini ujishushe kwa mtu mpuuzi kama huyo?
 
 
What goes around comes around! Big up🤝
 
Asee! Ntafuata past paper kwako😅
 
Mwanaume anaelekea kuwa species hadimu sana,sasa hili nalo ni lakuomba ushauri.(Kama me).
 
Mfanye kama part time mpaka hapo utakapojiridhisha kwamba amekaa sawa na yuko tayari muwe wanandoa,acha kukabidhi moyo wako kizembezembe.
Yaani akilala unalala,akiamka unaamka yaani unakuwa sambamba naye usijiwekeze sana kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…