Tuendako sio kuzuri!

Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi
Kwa hiyo wao na wewe hakuna mwenye nafuu? Wote mambo yenu ni yale yale? Usipokuwa kama wao utapungukiwa nini?
 
Magufuli anataka hivyo, endeleeni kumuunga mkono.
 
Upinzaninwa kisiasa upo kisheria kulingana na katiba. Yanayoendelea ni uhalifu na ni kinyume cha katiba iliyopo. Inasikitisha kuwa na "unyani" wa kiwango hili katika kipindi hiki
 
Tukifanya mchezo Miaka sio mingi sana hatutakuwa na utulivu huu tulionao
 
Chuki hiyo si njema sana. Ukiwa CCM kuna ndugu yako yuko ulinzani na Ukiwa upinzani kuna ndugu yako yuko CCM. siasa isitutenganishe, siasa za Chuki hazina tofauti na udini, ukabila au ubaguzi wa rangi. Tusifike huko.
Chuki hiyo chanzo chake ni nini au ni nani?
Mbona kama wajitia upofu!!!!???
 
Yaaaaaani awamu hii hata ccm wenyewe wanaona aibu!
 
Muasisi wa chuki hizi anajulikana na atabeba lawama zote. Mungu hadhihakiwi.
 
Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi

Mimi mwana ccm yeyote huwa namtoza mara mbili kwenye biashara yangu na sinunui kitu kwa mtu anaejitambulisha kuwa ni m-ccm.
 
Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi
Mimi hata tukikuta bar huwa sipendi mazoea nao kabisa hao manyang'au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…