Samwel J Nyangi
Member
- Aug 13, 2015
- 94
- 164
Ongeza na masikio mkuuyetu macho tu
Wanachokichochea watakipata tuWaungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Uchochezi wao uko wapi?Chadema ndiyo wachochezi nchi hii
Uchochezi wao uko wapi?
Nakinuke tu wakwanza nakuja kukukata hayo masikio yako nikikupata.
Ni hoja vikirishi,kuna haja ya Watanzania kukaa pamoja na kuondoa tofauti zetu za kiitikadi,Nakumbuka J K aliwahi kusema ni vema tukakaa na kumaliza tofauti tukiwa wamojaKwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi
Kwangu adui wa kwanza ni mwanaccm , sijashiriki misiba yao mtaani kwangu huu ni mwaka wa 3 sasa , halafu wao pia wanafahamu kwamba sishirikiani nao kwa lolote , na namuomba Mungu aendelee kunipa ujasiri wa kuwatenga zaidi
Haya yote yataisha tu kama tutaelewa katiba inasema nini na tukaamua kuitiiWaungwana wa JF nimeona niandike haya baada ya kutafakari sana juu ya ninachokiona sijui na wenzangu kama mnaliona hili, Kwa uelewa wangu siasa si chuki, ugomvi, hila, visasi ila siasa ni hoja, mwenye hoja humshinda asiye na hoja au mwenye hoja hafifu. Ikubukwe sote ni watanzania ingawaje tunatofautiana tu itikadi za vyama. Sasa naona kama kuna kachuki kanajengeka kati ya chama tawala na upinzani. Imekuwa kama ni uadui, wa upinzani anaanza kumchukia wa chama tawala wa chama tawala anamchukia mpinzani. Mimi nimeliona hili hata humu JF. Kwa mwenendo huu Nchi yetu hatutafika kabisa tunakoelekea sio kuzuri utofauti wa vyama usituletee utengano na chuki baina yetu. Sisi ni watoto wa Baba na mama mmoja nao ni TANZANIA. tuishi kwa kupendana.
Umkate kwa kutumia msumenoUchochezi wao uko wapi?
Nakinuke tu wakwanza nakuja kukukata hayo masikio yako nikikupata.
Unaunga upande wa wanaojulikana au wasiojulikana? Kuwa muwazi PascalAmen, naunga mkono hoja.
P.
Utawala wa awamu hii ndiyo uliopandikiza chuki. Chuki kati ya wapinzani na ccm. Angalia hata mikutano ya kisiasa,ccm wanafanya wapendavyo,wapinzani wanazuiliwa kwa kigezo eti watavunja amani. Hivi hao ccm wenyewe hawawezi kuvunja amani? Hao wapinzani wenyewe hawapendi amani? Kuna mtu anasema etcdm walipata kura elfu 6,kwahiyo ni vizuri wakizuiliwa kufanya mikutano,Kama amani inavunjika kwa kigezo cha wingi wa kura,na hao ccm waliopata nyingi zaidi je?Chuki hiyo si njema sana. Ukiwa CCM kuna ndugu yako yuko ulinzani na Ukiwa upinzani kuna ndugu yako yuko CCM. siasa isitutenganishe, siasa za Chuki hazina tofauti na udini, ukabila au ubaguzi wa rangi. Tusifike huko.