Mworombo01
Senior Member
- Nov 9, 2016
- 113
- 82
Kwa hiyo usipolipa wanakata kichwa au ,daaah sasa si wote tutakosa vichwa ?Nimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana.
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA IKARUDISHWA kwa nguvu zote ili hapa kazi itimie.
Tujiandae kukimbizana kama mwanzo
NdioKwa hiyo usipolipa wanakata kichwa au ,daaah sasa si wote tutakosa vichwa ?
Hiyo mi siigopi wasiwasi wangu isianzishwe kodi ya usingizi kama vianzo vipya vya mapato. Napendaga kulala nitafilisika.Nimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana.
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA IKARUDISHWA kwa nguvu zote ili hapa kazi itimie.
Tujiandae kukimbizana kama mwanzo
Dah we jamaaa,Waweke kodi zozote wanazotaka ila wasijaribu kuweka kodi ya kujamiana hapo ndiyo watanijua na watajua umuhimu wa kujamiana
Umeona mbali mkuu, ingawa kodi hiyo haitazuia chaguzi ndogo zinazotafuna hela za wavuja jashoNimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana.
Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA IKARUDISHWA kwa nguvu zote ili hapa kazi itimie.
Tujiandae kukimbizana kama mwanzo