Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
namba tisa ina maajabu mawili
1) ukichukua tisa na kuizidisha kwa 1.....10, jibu la kuanzia namba moja mpka tano linaanza kugeuka (kuwa kinyume, kama 9x5=45,basi 9x6=54 tano na nne zimebadilishana nafasi) ukianzia sita mpaka 10, hebu angalia hapa chini
9x1=09
9x2=18
9x3=27
9x4=36
9x5=45 (kuanzaia hapa namba za jibu zinaanza ku swap kurudi juu)
9x6=54
9x7=63
9x8=72
9x9=81
9x10=90
2) ajabu la pili nikuwa kwa hesabu ya hapo juu,hizo namba za jibu ukizijumlisha jibu lake ni tisa
9x1=09, 0+9=9
9x2=18, 1+8=9
9x3=27, 2+7=9
9x4=36, 3+6=9
9x5=45, 4+5=9
9x6=54, 5+4=9
9x7=63, 6+3=9
9x8=72, 7+2=9
9x9=81, 8+1=9
9x10=90, 9+0=9
2*11=22 hapa unafanyaje?
Vilevile namba yoyote ukiizidisha kwa 11 ni sawa na kuzijumlisha namba husika na jibu ukaliweka katikati ya namba hizo, mfano:
23x11= 2+3=5, so unaichukua 5 unaiweka kati ya 2 na 3 unapata jibu 253, ni njia ya haraka ya kupata jibu badala ya kupoteza muda kwa kuanza kuzipanga na kuzijumlisha! Sijui nimeeleweka?:A S 114:
sipo kabisaaaaa!
22*11=242.
Inakuaje?
Hiyo formula haija-aply.
LOL!
sipo kabisaaaaa!
22*11=242.
Inakuaje?
Hiyo formula haija-aply.
LOL!
Noted.Mbona namba zingine hazikubali kama kwa mchangiaji wa nyuma.2+2=4 (kumbuka, jibu huwa katikati)
U ar right!Tafauti ni kua wanatoa majibu bila kujua nini wanaelezea.Utabiri na Ubashiri Huanza hivi hivi