TUCTA wataweza?Mungu saidia hawa watu.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
20,877
27,214
Ni wazi watumishi Tanzania wanakandamizwa.Ukiukwaji wa utaratibu na haki za wafanya kazi ni mkubwa na wa kutukuka.

Ifike mahala sasa watumishi Tanzania waseme basi inatosha.

TUCTA imeamua na vyama vyote unganeni na pingeni dhuluma hii.

Kama KNCU,KNPA na vyama vingine vilivyopigania haki za mfanyakazi enzi za ukoloni.
Muda ni huu.

Bodi irudishe fedha Kwani makubaliano hayakuwa hivo.

Pia wanaharakati wapiganie TUME HURU YA UCHAGUZI.
Hakika watoke hawa watawala kandamizi.
 
Tucta hata website hawana,cwt kwenye home page ya website hamna chochote cha cha maana za ya makosa ya kiundishi kama covey instead of convey,right instead of rights,hamna chochote hapo twafaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom