Tucta msirudi nyuma

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
Nimefurahishwa na msimamo wa vyama vya wafanyakazi afrika ya kusini juu ya msimamo wao wa kudai maslahi yao bila kuogopa vitisho,liwe somo kwa tucta hasa wakati huu,wao wanataka kura nanyi mdai maslahi ya wafanyakazi bila woga wowote,kitendoo cha viongozi karibu wanne wa serikali kuja na matamko yao yanayoiashiria vitisho kwenu ni ya kuyapuuza na kusema mapambano yanaendelea
 
Back
Top Bottom