TUCTA kuibuka juu ya mafao...

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
651
Reaction score
855
Kuna taarifa kwamba, shirikisho la vyama vya wafanyakazi TUCTA litafanya mkutao na wanahabari kutoa tamko juu ya mafao. Je, TUCTA watakuja na nini jipya kwa serikali na wafanyakazi iwapo inaelezwa kuwa nao walishiriki zoezi zima la hii kitu inaitwa mafao na inayolalamikiwa na kila mfanyakazi?
 
TUCTA ndo ile iliyong'olewa meno?? wafanyakazi poleni sana.
 
Usishangae kusikia wanaunga mkono.

Tukisema hivi vyama ni matawi ya CCM muwe mnaelewa.
 
TUCTA naye ni mwizi tu anayeshirikiana na mamlaka kuwanyanyasq na kuwaibia watumishi.
 
Being a civil servant in this country is to put your life in jeopardy
 
kumekucha
 
Huenda itahusu maandalizi ya sherehe za Mei Mosi mwaka kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…