Tuchome nyama pori

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,586
Reaction score
66,282
Kwanza utaanda viungo vyako tangawizi kitunguu saumu na pilipili uta visaga kisha uta paka kwenye nyama na uhakikishe imekolea

Kisha utaweka nyama kwenye waya hakikisha ume ipaka mafuta kidogo

Utakuwa una geuza na nyama yako ukitaka iwe mzuri basi ichome kwenye moto mkali sana

Uku una icharanga charanga na kisu ili iive mpaka ndani limau iwe ya kutosha

Kama una vyo ona hapa nyama teyari nakula na ugali swafii kabisa kisha nashushia na wine
 
Dah..... napenda sana nyama pori ... sana sana swala ,dofu na digidigi... ukikuta mchomaji mzuri unakula balaa !

Hio Nyama kwa haraka haraka ni kama 3kgs, unamaliza yote ama mpo team 😊 😃

Hapo kwenye 🍷 umepatia sana, inasaidia mmeng'enyo
 
Ni zaidi ya 3kg sema nimeita watu kidogo tushare

Wine mzuri ila isiwe na kilevi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…