Kwa sisi waafrika yote yanawezakana sijui tulirogwaNdio nini hivi
Kama vyoteNdio nini hivi
Hadidhi ya rupia na mequry bado iko pale pale watu bado wanalizwa sanaNa wale wa rupia, pasi ya mjerumani etc hadithi huwa hivyo na mwishowe ni kupigwa hela! Umeilezea vizuri hata mtoto ataelewa, hao wataopigwa baada ya hiyo story ya demand and supply ya kutengenezwa shauri yao.!
Huo ndio mtindo unaofanyika na matapeli wa fedha za Mjerumani, rupi ama viti vya watemi.Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka[emoji250],
ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basi
wanakijiji wanahaha kusaka Paka[emoji250],
wanawaleta mchina ananunua wote anasepa
nao. Anarudi tena anasema vipi, naona
wameadimika, sasa ntanunua kwa bei ya
35,000 Paka[emoji250] mmoja, wanakijiji wanaenda
deep zaidi msituni, kamata Paka[emoji250], leta kwa
mchina, mchina anasepa nao. Afu wiki
mnayofuatia Mchina anasema bado anataka
Paka[emoji250], saivi atanunua kwa Laki. Wanakijiji
macho yamewatoka, hawana tena paka[emoji250].
Mchina anasema basi ntaftieni kwa Laki na
Nusu. Keshoake inasikika kuwa kuna Mchagga
anauza Paka kijiji cha pili, anauza kwa
100,000/=, wanakijiji wanawahi fasta
wanaenda nunua Paka[emoji250][emoji250][emoji250][emoji250] wote wa kijiji cha
pili. Wanarudi kijijini hawana pesa ila wana
Mapaka [emoji250][emoji250][emoji250] wakijua watamuuzia mchina fasta kwa
laki na nusu, Mchina hatokei Ng'oooo!!!!
Infact, yule mchina alikuwa anawakusanya tu
na kuwahifadhi kule kijiji cha pili akijua ataja
wauza kwa 100,000/= kwa hawa hawa wa kijiji
hiki.
This is what i called business strategy.
Hahahahaha kuna jamaa nilimuonya akaniambia wewe mzee wa kikongo rudi kwenu ukacheze Rhumba mambo ya rupia tuachie tukavune pesa za kuosha baada ya mwezi nakutana naye anatembea kwa miguu na rupia zake hazina wateja kalizwa million 21 kwa kejeri kwanza nikaweka wimbo wa Mario kupenda miteremko bila jasho anasema mzee ningekusikiza nisingefikia hatua ya kuuza mifugo na power tiller yanguHuo ndio mtindo unaofanyika na matapeli wa fedha za Mjerumani, rupi ama viti vya watemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko uraiani wanalizwa sanaHuo ndio mtindo unaofanyika na matapeli wa fedha za Mjerumani, rupi ama viti vya watemi.
Sent using Jamii Forums mobile app