TUCHEKE KIDOGO

TUCHEKE KIDOGO

MWANAJAMIA

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
47
Reaction score
45
*Looku Looku*

NAOMBA UVAE MBAVU ZA SPEA

*_Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku kadhaa. Mhaya mmoja_* *_akauliza, 'Vya nini hivyo?_*
*_Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu sana, hivi atakula njiani_*
*_Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja akadondoshea laki moja akasema,_* *_Isipotosha ataongezea hii_*
*_Mchaga akatoa cheque book, akaandika cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3 kwenye kaburi na kuacha_* *_cheki akisema, 'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa cheki_* *_Vibaka wasijeWAKAKUUA buree

*_Shikamoo_* *_wachaga!_*

*Mniache tuu* haya sasa kuchekana Ukabila mwisho mara 1��
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom