Tucheke Kidogo ktk huu Mkesha

Tucheke Kidogo ktk huu Mkesha

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
2,091
Reaction score
1,179
Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa Taranga: Una dollar 4000, una smg, bastolla, simu 3, laptop 3, kanzu, bharakashia, then utathubutu, utalizwa, utabaki uchi, ccm oyeeeeeeeee.
 
Wewe!!! sisi tunadhani unaleta updates za Arumeru kumbe Malima!
 
Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa Taranga: Una dollar 4000, una smg, bastolla, simu 3, laptop 3, kanzu, bharakashia, then utathubutu, utalizwa, utabaki uchi, ccm oyeeeeeeeee.

una pete mbili za bahati za almazi ni kumalima tu !
 
Kichekesho,utumbo?
Ukitaka vichekesho,lipo jukwaa humu kwa ajili hio!
 
Hiki lete baada ya matokeo rasmi kule East AruMeru meku!
 
Acheni habari za huyo mhuni,Lete habari za vituo vinne vilivyobaki mkuu
 
Matokeo tayari yametangazwa na Chadema imeshinda kwa zaidi ya kura 6000. Ndo tuko tunasherekea ushindi wa ndg. Nassari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom