mabala1990
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 213
- 143
- Thread starter
-
- #21
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ni historia na standardisation.
Kuna computer nyingi za zamani zilikiwa na 12 au 22 bits, zaidi ni maamuzi ya industry ya computer ili kusiwe na kutokiongiliana kwa vifaa/software etc.
Hahahaaa.., watag mafundi wa hizi mambo mkuu maana google kuna kidhungu halaf kigumu hahahaMi bado jamani naona kama swali halijajibiwaa vile ambavyo hata mimi nilitamani kuona linajibiwa ila sawa naendelea kusubili wajuzi mnifungue kwenye maswali hya kbla sijakimbilia google nikapambane na vingereza........
Au kiwepesi ungesema katika mifumo ya kidigital tunatambua 1 na 0 na hivyo namba huwa zinakwenda kwenye mpangilio wa binarykiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,
kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,
hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2
kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4
utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.
kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu
mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Mambo ya ki digital hutumia sana mfumo wa binary {binarynumber system} thus y hukuti namba kuangukia kwenye witri zaidi ya shufwa, yaani 1, 2, 4, 8, 16, 32Mi bado jamani naona kama swali halijajibiwaa vile ambavyo hata mimi nilitamani kuona linajibiwa ila sawa naendelea kusubili wajuzi mnifungue kwenye maswali hya kbla sijakimbilia google nikapambane na vingereza........
Tatzo langu hesabu ila nimekulewakiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,
kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,
hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2
kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4
utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.
kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu
mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Kuna kitu kinaitwa Digital Logic kwenye digital logic Luna binary number namba inayotambulika na computer ni 0 and 1Wakuu habari za usiku.,
Bila kuchelewa hapo kichwa cha habar kinajieleza, mimi kuna swala huwa najiuliza nakosa majibu ni kwanini inakuwa hivyo.,
Kwanza; Simu nyingi hasa smartphones(zilizonyingi na si zote) zina internal memory inayogawanyika kwa 8 yaani 8GB, 16GB, 32GB, 64GB and so on...na kwanini isiwe 7GB, 13GB na 21GB?
Pili; Computers specifically naongelea mpakato, zina bits 32 na 64 kwanini zisiwe 30 au 23 bits.?
Shukrani..,
Nawasilisha hoja..
Dah...inapendeza kweli hii?[emoji41] [emoji13] [emoji87]Ni historia na standardisation.
Kuna computer nyingi za zamani zilikiwa na 12 au 22 bits, zaidi ni maamuzi ya industry ya computer ili kusiwe na kutokiongiliana kwa vifaa/software etc.
Dah....inapendeza hii[emoji4]kiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,
kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,
hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2
kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4
utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.
kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu
mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Umenikumbusha digital Logic [emoji109]Au kiwepesi ungesema katika mifumo ya kidigital tunatambua 1 na 0 na hivyo namba huwa zinakwenda kwenye mpangilio wa binary
Kwa sababu nyembamba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa nini hizo simu ziliitwa smartphones na sio jina lingine?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwakweliKwa sababu nyembamba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahahaHahahaaa.., watag mafundi wa hizi mambo mkuu maana google kuna kidhungu halaf kigumu hahaha
ahaaa hapa kidogo naanza kunywa madiniMambo ya ki digital hutumia sana mfumo wa binary {binarynumber system} thus y hukuti namba kuangukia kwenye witri zaidi ya shufwa, yaani 1, 2, 4, 8, 16, 32
Soma digital electronics utaelewa mkuu, ingia hata wikipedia search kwa namna hiyoahaaa hapa kidogo naanza kunywa madini
Sawa mkuu ngoja nifanye hvyoSoma digital electronics utaelewa mkuu, ingia hata wikipedia search kwa namna hiyo