mabala1990
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 213
- 143
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu swali la nyongeza hilo mm nimeishia hapo so wanaoelewa zaidi wafunguke, au hata ww kama vipi funguka tueleweKwa nini hizo simu ziliitwa smartphones na sio jina lingine?
Mimi ndio nimefunguka kwa kuuliza hilo swali mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu swali la nyongeza hilo mm nimeishia hapo so wanaoelewa zaidi wafunguke, au hata ww kama vipi funguka tuelewe
Basi sawa ngoja tuwasubir watufungukie zaidiMimi ndio nimefunguka kwa kuuliza hilo swali mkuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mia 9 itafaa mkuuMimi ata sijui chochote napita tu..
Naomba reflection hapo mkuu na nilichokiandika japo swali lako linamantikiKwann we uliitwa jina lako ilo Na sio kishiwa ama shaibu
[emoji38] tunahama mkuuu tutafungwaKwanini bwana yule anataka tuendelee kumuombea??
Nipo kwa kagame wa Rwanda watanishika kiwepesi sana[emoji38] tunahama mkuuu tutafungwa
Hahahaaaa kwakweli aseeeNipo kwa kagame wa Rwanda watanishika kiwepesi sana
Kidogo nimekupata, endelea endelea mkuuuNafikiri inasababishwa na computer nyingi zinatumia binary ku address memory.
Tuwape nafasi wengine wamalizie...Kidogo nimekupata, endelea endelea mkuuu
Asante mkuu umenifungua machokiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,
kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,
hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2
kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4
utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.
kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu
mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc