Tuchambue mchezo wa simba na yanga tarehe 25/02/2017

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,941
2,043
Tarehe 25 ya mwezi wa pili mwaka huu wa 2017,Watani wa jadi simba na yanga watakua wakiumana.Maneno mengi ya majigambo ya hapa na pale yamekuepo!.Ni vigumu kutabiri mshindi wa mechi hii kwani wote kati ya watani hawa wanataka kuilinda heshima waliojijengea lakini kubwa ni kuhakikisha mmoja kati yao anaburuzwa.
Mashabiki karibuni tuchambue yote juu ya mechi hii mpaka pale refa atakapokipuliza kipenga chake kuashiria mechi io imekwisha!.
 
Back
Top Bottom