Tubeless tire size 215/70R16

Tubeless tire size 215/70R16

Bee hive

Senior Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
146
Reaction score
54
Wana jamii naomba kujuzwa ni brand gani nzuri ya tairi hizi (size 215/70R16) naweza tumia kwa muda wa zaidi ya miaka 2 kwa matumizi ya gari. Wastani wa umbali nitembeao kwa gari ni 30-35km kwa siku. Ntashukuru nikijulishwa aina na bei.
 
BF Goodrich All-Terrain T/A...... Kila la heri
 
kama utaona bei ya BF Goodrich upo juu sana check ata yokohama au donlup za Japan zitakufaa kwa matumizi yako bila shida
 
Back
Top Bottom