Tubaki kwenye ukweli

Tubaki kwenye ukweli

Kiwalani finest

Senior Member
Joined
Jul 6, 2024
Posts
116
Reaction score
85
Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake .
Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki

Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir
😳😳
Kwa sababu
Kimsingi
Tukisoma katiba yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) ibara 09 a,b,f na h bila kuiacha ibara 29(1)(2) ...
Ukisoma Ilani ya CCM 2020-2025 uk 01 ibara 04 Utaona Ni wajibu wa kila Mtu
Kufuata na kutii katiba na sheria za Muungano.

Ni wajibu wa kila mtu mwenye Uzalendo na utimamu wa akili asiyekuwa Kafir wala Mnafiki kuchukuwa hatua dhidi ya hifadhi ya katiba na sheria za nchi .

Utaona kila kiongozi wa ngazi yeyote ana wajibu huyo ulioelezwa hapo juu.
Ikiwa
Hakuna Ukafiri Hakuna Unafiki

Kwa nini mfano labda
Diwani anaonekana Yupo kinyume na utaratibu analindwa
Mwizi wa kuku Na Watumishi wa umma wanaaibishwa .

Ila Watu Wakiuza ofisi za chama kinyume na taratibu za kimfumo wanalindwa.
Kisha Wanafiki Na Makafiri baadhi wanatoka hadharani kuinadi haki ambayo wanaitamka kwa maneno tu huku matendo yakiwa ya kishetani.

Nchi hii ni yetu sote Tunateseka kwa sababu
Tunaona aibu Kuwaambia Makafiri yaliyokiuka viapo kuwa ni makafiri

Tunawapeti peti wanafiki

Na kuwapa sifa wasizo zistahili na hivyo nasi tutoazo hizo sifa nasi kuwa wanafiki walioponzwa na njaa za kijinga jinga .

Tubadilike

Tumuogope Mwenyezi Mungu awezaye kuuwa Mwili na roho ila kwenye ukweli tuufie ukweli tusiwaogope
Makafiri na Wanafiki wajitamkishao neno Mwenyezi Mungu huku wakikiuka kwa maksudi mifumo kwa msaada wa ushereheshaji wa Mijitu iitwayo Michawa iliyopata hitilafu ya ubongo na hivyo kulazimika kuishi kama wanyama huku ikiwa na mionekano kama watu.
 
Back
Top Bottom