Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Habari wadau, tafadhali nahitaji gari aina ya ist au raum ila tufanye exchange na kiwanja kigamboni kimbiji ambacho kina hati tayari toka ardhi ukubwa ni sqm 520
Kwa mawasikiano nicheki 0762987034
Asanteni
Kwa mawasikiano nicheki 0762987034
Asanteni
nimecheka sanna ujue