Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Ni kifupi cha neno PlayStation 4 kama ushaziona PlayStation 2 (Maana ndiyo nyingi) kuna PlayStation 3, PlayStation 4 na PlayStation 4 Pro.
Game inagonga 1M hiyo kutegemea na chochoro hiyo simu 600K unapata.
Kila la heri nahisi utakayempata ni yule kashaichoka console yake.
Ok nimekusoma mkuu.Ni kifupi cha neno PlayStation 4 kama ushaziona PlayStation 2 (Maana ndiyo nyingi) kuna PlayStation 3, PlayStation 4 na PlayStation 4 Pro.
Au angalia Azam wakiwa wanafanya mashindano ya kucheza game la mpira ile console inayotumika ni PS4.
Mkuu unayo hiyo PS2 Tufanye biasharaNjoo uchukue ps2
Me nina ps 4 fat kama unahitaji njoo tufanye biashara 0673748445Mkuu unayo hiyo PS2 Tufanye biashara
Sh ngp?