Ipo samsung galaxy A3, ina mwezi mmoja tu. Ukiihitaji nicheki PMMkuu asante, ni simu nzuri ila mimi siyo fan wa htc kabisa
kuna note 3Simu ipo vizuri sana, kama utahitaji au una pendekezo lolote nichek hapa hapa kwenye uzi, au PMView attachment 317387View attachment 317389View attachment 317390