Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
SAMIA ASIRUHUSIWE KABISA KUGOMBEA URAIS NA KAMA ANALAZIMISHA, MCHAKATO WA KIKATIBA UANZE WOTE UPYA.
Awamu ,Awamu inapatikanaje ? Kwa wa Katiba Awamu inapatikana kupitia UCHAGUZI MKUU, Kwa Kiongozi kupigiwa Kura !!.
Kiongozi gani anayepigiwa kura uchaguzi kuwania Urais??
Ni yule ambaye kwanza, Alichukua Fomu ya Kugombea Urais Kupitia Chama Chake, Kisha chama Kwa taratibu, Kanuni, Sheria, Miongozo na KATIBA yao kikachakata kikachakata hatimaye Kikaja na Mgombea Mmmoja kua huyu ANATUFAA!!.
Ni nani alichukua Fomu ya Kugombea Urais 2015 ,ni HAYATI JPM.
Ni nani alichujwa kwenye mchakato wa Kikatiba wa kichama, akafanyiwa vetting na vyombo vya Ulinzi na Usalama 2015 Kwa Ngazi ya Urais ni HAYATI JPM.
Je Rais SAMIA kuteuliwa kua Makamo Mwenza sababu za Uanamke, Uzanzibar, Uislam, Uccm, Vetting iloishia kwenye "Fikiria za Umakamo tu " ( kwakua haikuwaza Rais anaweza Fia Madarakani ) inatosha Kumfanya Samia afae kwenye URAIS???..
SASA TUFUNIKE KIKOMBO, TUCHUKULIE SAWA, KAMA ANAVYOLAZIMISHA YEYE KUTAMBULIKA NI RAIS WA AWAMU YA SITA.
Awamu yake haikuja kupitia UCHAGUZI Mkuu!.
Hakuchukua Fomu ya Kugombea Urais.
Hakuwahi kufanyiwa Vetting Mahususi inayizingatia NGAZI YA URAIS.
Hakupitishwa kwenye Chujio la Kuangalia Ubora miongoni mwa Watia Nia.
Maana yake nini ??.
Rais Samia kujipitisha mwenyewe Dodoma ni Ukiukwaji mkubwa wa Katiba ya Chama na Nchi, ni Ubabe na Ulevi wa mabadaraka.
Rais Samia amenyima Fursa ya Watia Nia wengine kuonyesha Uwezo wao.
Hivo Rais Samia Kwa kuzingatia Ukweli wa 2015 kua hakuchukua Fomu ya Urais , hakufanyiwa Vetting ya level ya Urais, Hakupitishwa kwenye Chujio, Hata kama tukiaasume kua ni
Awamu ya Sita, itakua ni Awamu haikutokana na KURA , na kama anataka kuhesabika Halali, ni Lazima Apigiwe Kura kwenye Uchaguzi Mkuu, na ili apigiwe Kura ni lazima Afuate Taratibu zote za KIKATIBA za Chama na Nchi, yaaan Watia Nia Urais wawe wengi, Wachujwenkwa Vetting inayizingatia NGAZI ya URAIS , majina yapelekwe Dodoma , Achaguliwe Mmoja.......hili ndio Wazalendo wanalolitaka.