Kuna umuhimu wa kuwa na square hapa Tanzania ,hiyo iwe ni sehemu ya kukutana kwa wafurukutwa/wanaharakati wa maisha ya wazalendo wa nchi hii,huko Kenya kuna Kamukunji na Uhuru gardens,vilevile kuna square huko China,Uingereza,Urusi,Misri,
Mara nyingi kwenye hizo square ndiko unapata Peoples Power,nawakilisha
Kibali cha Polisi utapata? Au unataka risasi zilindime kila mnapojitokeza pale. Pale ni karibu na bandari. Mnaweza kupigwa risasi kwa kuhatarisha usalama wa bandari na kutotii amri "halali" za polisi. Itakuwa salama kama ni Tandika, Kawe au Kimara. Kwa muda angalao.This is a pretty good idea. An open area at the Old Post office in Dar es salaam would do for Dar es salaam. It's small but might serve the purpose.
njoeni UDSM kuna level square ipo kwa malengo hayohayo ya kiuanaharakati.
Tayari mnazi mmoja park ipo. Ama pale kwenye askari monument