Wengi tunaomfahamu tulishangaa kupata hivyo vyeo, kwa kuwa kimaadili yuko bancrupt kwa kweli. Sijui kama ameshaacha kilaji? sijui kama yule mhaya anayekaa naye ameacha kumpangia cha kufanya, huwa hana usemi kabisa, wanaomfahamu ticha aliyekuwa msuluhishi wa kesi zake zisizokwisha itabidi tumtafute amshauri. Na wasiwasi mhaya ndiye anamwelekeza cha kufanya.