Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,676
- 272,525
Bw. Mulongo ana shahada ya Biashara na Utawala ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kabla ya uteuzi huu alikuwa Meneja wa Kituo cha Biashara cha Mkoa wa Rukwa cha kampuni ya simu ya TTCL.
Aliwahi pia kuwa Mwalimu kwa muda katika Shule ya Sekondari ya Kibara na kufanya kazi kampuni ya simu ya Mobitel na kampuni ya vifaa vya ofisi ya Business Machine Ltd.
Kwanini msiende ktk website ya tamisemi ukiangalia cv ya huyo RC
Nimewahi kufanyakazi mobitel simkumbuki huyu bwana sijui labda ilikuwa mwaka ganiBw. Mulongo ana shahada ya Biashara na Utawala ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kabla ya uteuzi huu alikuwa Meneja wa Kituo cha Biashara cha Mkoa wa Rukwa cha kampuni ya simu ya TTCL.
Aliwahi pia kuwa Mwalimu kwa muda katika Shule ya Sekondari ya Kibara na kufanya kazi kampuni ya simu ya Mobitel na kampuni ya vifaa vya ofisi ya Business Machine Ltd.
Si kosa la Luhanjo huyu ni mtu wa Wasira kabisa ingawa sijui mahusiano yao lakini ni musoma troup na kijana wake haswaKatika watu ambao hawana uwezo ya kuwa hata wa wakuu wa wilaya ni huyu jamaa.....he is not understanding of public policy.....he always wants to force and follows orders za kinana na usalama for his srlfish gains....to sum up...he is a politically incompetent and vey novice. ...hii yote ni kazi ya Luhanjo
Ngoja tutamfanyia Local Science akome........naijua mwenyewe but kwa kuanzia nawezamfanyia ya kustopisha "Biology" yake isifanyekazi........halafu akiendeleza jeuri tunamwekea tego
Nimegundua an tabia za Ki.ke kwani ni mtu wa Visasi Visasi tu,,,Hafai hata kuwa Baba wa Familia.
Kwani huyu mzee yuko kwenye kambi ya wazee kama kule ughaibuni ambako ukipata nafasi ya kuwaosha masaburi na miguu unajidai kwani una uhakika wa kurudi bongo na mkweche?Alikuwa anamwogesha mzee khalfani.
Kwanini msiende ktk website ya tamisemi ukiangalia cv ya huyo RC
kama kuna mtu anamfahamu kuanzia wazazi wake ni watu wa aina gani,tabia zake toka utotoni,shule na chuo ni mtu wa aina gani. binafsi nilikutana nae arusha mwaka jana mwishoni,nilishindwa kuelewa mtu bogus vile kuwa mkuu wa mkoa kama arusha!Si kosa la Luhanjo huyu ni mtu wa Wasira kabisa ingawa sijui mahusiano yao lakini ni musoma troup na kijana wake haswa