Ni nani huyu mtu? wanaomfahamu vizuri watupe japo A,B,C kuhusu background yake hasa kazi alizowahi fanya huko nyuma, elimu yake, uhusiano na wakubwa (kama upo zaidi ya ule wa kikazi), n.k
ana elimu gani huyu?
ameshawahi kufanya kazi zipi zaidi ya kuwa RC?
Tatizo wanapoambiwa kwamba wao ni wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mikoa wanadhani basi wao wanaweza kumchukulia hatua kila mtu, wakati hapo kiutaratibu alitakiwa atoe mapendekezo kwa bosi wake kuhusu utendaji kazi wa huyo mkurugenzi for action maana huyu mkurugenzi ni mtendaji wa serikali ambayo ni kazi professional na mkuu wa mkoa ni mtawala (nafasi ya kisiasa na ya kuteuliwa), yeye anaowawajibisha ni ma-Dc, makatibu tarafa, ma-RAS, ma-DAS na wenyeviti wa vijiji but based na sheria ya nchi ikiwa sambamba na kuitisha vikao. Alivyoambiwa ana uwezo wa kumweka ndani mtu kwa 14 days basi anajua ukiamua tu unamweka mtu ndani. Inanikumbusha sakata la Ole Sendeka na mkuu wa mkoa wa Manyara (Shekifu enzi hizo) alifumfuza Ole Sendeka mbele ya wapiga kura wake jamaa likagomaHii inashangaza. Kwani alipoteuliwa hakupewa 'Job description?' Na kama hakuielewa si aulize waliomtangulia? Kumbukeni alikuwa DC Bagamayo kabla hajateuliwa kwenda Arusha. Labda watu wa Bagamoyo wanaweza kuelezea japo kwa ufupi utendaji kazi wake.
Mbakaji?Huyu aliwahi kufumaniwa mtaa wa Mukendo kule Musoma akiwa na mtoto wa shule akala kona na kumaliza kimya kimya,ilikuwa mwaka 2003
Ana miwaya a.k.a ngomaNa kama kuna anayejua kama ana matatizo yoyote ya kiafya kama Kisukari N.k , Maana matatizo kama ya Diabetes yanaweza kumsababishia mgonjwa kupoteza kumbukumbu , hivyo moja kwa moja kuathiri utendaji kazi wa Mhusika .
alisababisha mama msemwa
aliyekuwa DED BAGAMOYO kufikishwa mahakamani, kwa wasiomjua MULONGO
MAGESA kabla yakuwa DC BAGAMOYO alikuwa anafanya kazi TISS