By "sisi wanaume" unamaanisha kila mwanaume aka wanaume wote?Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!
Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!
nashangaa hii thread ali gonga likes ni mimi tu peke yangu
why?
hamuoni inastahili likes nyiingi?
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!
Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!
Mkuu uki hit point wanasepa wanaipita kama vile siyo wao!!
honey unanipagawisha. Vismol houses vyote nishavipiga chini.
Ni kwamba binadam si rahisi kuridhika; akipata kile anachokitamani leo, anakizoea na matamanio yake hubadirika. Kwa hiyo mambo ya kuridhika ni suala la ndani ya mtu, si nje yake. Kwa vitu vya nje, we hangaika tu, lakini hiyo si guarantee ya kuwa utamridhisha. Kwa wale wanaume ambao wameshaishi na wanawake kwa miaka kadhaa nadhani wanaelewa (mada ni wanaume).
Naunga mkono Kipima Pembe hapo juu. Hakuna binadamu anayeridhika. Unaweza ukafanya kila kitu ambacho mwanamke anataka umfanyie na bado asiridhike. Kwanza kabisa, mapenzi ni two ways, sio one way. Pili, sio wanawake wote ni sawa. Kwa maana hiyo hawatahitaji the same things.
Wako wanaopenda kwenda outing kila jioni. Lakini pia wapo wanaopenda kuangalia movies badala ya kwenda outing kila jioni. Wengine jioni hiyo ndio wakati wa kuangalia Egoli wanazopenda au kutembelea marafiki na jamaa zake. Kwenda outing kila jioni nako kunaboa sometimes. Na mwanaume mwenyewe kweli atakuwa hana mengine ya kufanya zaidi ya kumtoa mwanamke wake outing kila siku jioni? So, nadhani flexibility ni muhimu hapa.
Wote tunajua kuwa women love men. Wanataka attention na mapenzi kwa mwanaume wanayempenda zaidi ya vingine vyote hapa duniani. Hiyo ni habari nzuri na alivyosema mleta mada yanaweza kusaidia katika kuwapa attention na mapenzi wanayotaka japokuwa may not be enough.
Lakini mbaya ni kwamba attention na mapenzi wanayototaka wanawake ni very specific. Kama hutawapa attention na mapenzi ya kutosha watatafuta kwingine. Hapo hapo ukiwaonyesha too much attention na mapenzi wanapoteza interest kwako right after they get grossed out.
Kwa hiyo, ku-balance ndiko kunakowafanya waji-feel taken care of na kuwa huru (independent) kwa muda wote wa mahusiano. This is what will make you as man irresistible to her. Give women their independence on what they want to do and when na sio kuwatoa outing kila siku jioni.
Sidhani kama mwanamke huwa anampenda zaidi mwanaume pale ambapo mwanaume anapojaribu ku-win over her. Ubaya au uzuri ni kwamba wanawake wanajua pale mwanaume anapojaribu ku-win over her. In fact hii inaweza kuwa ni manipulation.

Hii nadharia uliyoweka hapa nikwamba wapo watu wa ainahiyo lakini hawawezi kubeba ujumla wa wanawake wote kama ulimuona huyo hayo ndiyo yalikuwa mapungufu yake nazaidi inategemea kuanza kwake mapenzi for the first time alikutana na mapenzi ya aina gani!!kwa mantiki hiyo mwanamke anaweza kubadili tabia kutokana na mwanzo wa mapenzi yake aliyoyapata hapo mwanzo lakini nawewe kienda seriously kwake ukashow love ambayo content yake imejaa ukweli atabadili tabia tu!!Naunga mkono Kipima Pembe hapo juu. Hakuna binadamu anayeridhika. Unaweza ukafanya kila kitu ambacho mwanamke anataka umfanyie na bado asiridhike. Kwanza kabisa, mapenzi ni two ways, sio one way. Pili, sio wanawake wote ni sawa. Kwa maana hiyo hawatahitaji the same things.
Wako wanaopenda kwenda outing kila jioni. Lakini pia wapo wanaopenda kuangalia movies badala ya kwenda outing kila jioni. Wengine jioni hiyo ndio wakati wa kuangalia Egoli wanazopenda au kutembelea marafiki na jamaa zake. Kwenda outing kila jioni nako kunaboa sometimes. Na mwanaume mwenyewe kweli atakuwa hana mengine ya kufanya zaidi ya kumtoa mwanamke wake outing kila siku jioni? So, nadhani flexibility ni muhimu hapa.
Wote tunajua kuwa women love men. Wanataka attention na mapenzi kwa mwanaume wanayempenda zaidi ya vingine vyote hapa duniani. Hiyo ni habari nzuri na alivyosema mleta mada yanaweza kusaidia katika kuwapa attention na mapenzi wanayotaka japokuwa may not be enough.
Lakini mbaya ni kwamba attention na mapenzi wanayototaka wanawake ni very specific. Kama hutawapa attention na mapenzi ya kutosha watatafuta kwingine. Hapo hapo ukiwaonyesha too much attention na mapenzi wanapoteza interest kwako right after they get grossed out.
Kwa hiyo, ku-balance ndiko kunakowafanya waji-feel taken care of na kuwa huru (independent) kwa muda wote wa mahusiano. This is what will make you as man irresistible to her. Give women their independence on what they want to do and when na sio kuwatoa outing kila siku jioni.
Sidhani kama mwanamke huwa anampenda zaidi mwanaume pale ambapo mwanaume anapojaribu ku-win over her. Ubaya au uzuri ni kwamba wanawake wanajua pale mwanaume anapojaribu ku-win over her. In fact hii inaweza kuwa ni manipulation.
Wonderfull kakakiiza,your exceptional!wanaume wote wangelijua hilo mbona tungenenepa?
Mwanamke umleavyo ndivyo akuavyo..the problem wanaume wengi hawaamin kwenye mapenzi ya kweli na yenye u2livu wanachukulia isue ya kua na mpenzi zaid ya mmoja ni prestige!la hasha you can have a single woman na ukamtreat vizuri 2 the extent hatamani kupendwa na mwingine zaid yako..
umeongea point lakini umekwenda nje ya mada
muanzisha mada kazungumzia 'mahusiano mapya'
na sio kuridhishana wala kuwa kuhusu mkichokana inakuwaje
hapa inazungumziwa hisia potofu wakati mahusiano bado maapya kabisa
Hii nadharia uliyoweka hapa nikwamba wapo watu wa ainahiyo lakini hawawezi kubeba ujumla wa wanawake wote kama ulimuona huyo hayo ndiyo yalikuwa mapungufu yake nazaidi inategemea kuanza kwake mapenzi for the first time alikutana na mapenzi ya aina gani!!kwa mantiki hiyo mwanamke anaweza kubadili tabia kutokana na mwanzo wa mapenzi yake aliyoyapata hapo mwanzo lakini nawewe kienda seriously kwake ukashow love ambayo content yake imejaa ukweli atabadili tabia tu!!