Tuandike matangazo kwa makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuandike matangazo kwa makini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ruttashobolwa, Mar 14, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Nimeamua kusema haya baada ya kushangazwa na matangazo yanayo tolewa na wana jf hasa matangazo ya nafasi za kazi. Napenda kuwashukuru wana jf kwa kuwa na moyo wa kusaidiana lakini naomba tuangalie jinsi tunavyo saidiana hasa kwa swala la kazi,kama tujuavyo watanzania zaidi ya 80% tunatafuta kazi kila mwaka hasa vijana ,hivyo tunategemea matangazo yakazi yanayo wekwa humu yawe yamekamilika, nimeona matangazo mengi ya kazi mazuri lakini hayaoneshi ni wapi upeleke maombi yako,hayana box la kutuma maombi au email adress yakutuma maombi! Tumaini langu atufanyi utani tunapo weka matangazo kwasababu utakapo toa tangazo ambalo halijakamilaka ,halita tusaidia .wengine wanasema sources ni siri kama ni siri basi lisiwekwe.tusichoke kusaidiana ,amani kwa wote.
   
Loading...