Tuandae muongozo wa namna ya kuongoza Taifa pale ambapo Taifa litakapopoteza "Think Tanks"

Tuandae muongozo wa namna ya kuongoza Taifa pale ambapo Taifa litakapopoteza "Think Tanks"

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Hii ieleweke vizuri kuwa duniani na hususani dunia ya sasa imejipanga kusambaratisha Taifa flani kwa kuwahonga viongozi au kuwameliza kwa kuwaua ili lengo la kibeberu litimie.

Kwa muktadha huu inatupasa tuandae versions zaidi ya 100 za viongozi na pia tuandae muongozo thabiti wa namna ya kuongoza Taifa pale ambapo Taifa lipo katika " attack" ya kuwaPoteza think tanks au experience leaders.

Ninachokiona duniani kwa sasa ni yale yale ya zama zile zile za ubabe na maslahi ya "empires" "chiefdoms" na kinhdoms.

Kwa sasa inatubidi kuwa na mfumo wa kuzitetea chiefdoms na kingdoms kwa namna yoyote ile!
 
Hakuna haja ya kubabaika na hilo rahisi sana gentleman,
CCM ina hazina kubwa mno ya think tanks wa kutosha kwa maslahi ya taifa na waTanzania wote.
Wapo wa kutosha sasahivi na wakati itakapohitajika kuwatumia.

hakuna haja ya kua na hofu au kubabaika na hilo. Ni vizuri zaidi kujikita katika kufanya kazi kwa bidii kwasababu taifa letu liko kwenye mikono salama, ya serikali sikivu ya CCM, ambayo itashika dola na kuongoza serikali ya Tanzania kwa miaka mingi sana ijayo.
 
Umeanza kushituka sio?

Subirini hadi nchi ibaki inawategemea Kikwete na wa aina yake kama think tanks...

Tatizo la hii nchi ni hawa wanaojiita Usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom