Unafungaje ndoa na mtu usiyemjua?
Imetokea kwa binamu, aliolewa na jamaa yuko Dubai hakuwahi kumuona kabla, zaidi ya kutumiana picha, siku ya harusi alikuja mwakilishi wa yule mume akapiga goti na baada ya siku mbili binamu akatua Dubai kukutana na mumewe, alikuwa ni mlemavu, mwili umeishia ktk kiuno, shida ikaja dogo kumkataa nao wakadai mahari yao na uncle ashaongezea kaagiza fuso, ikabidi atafutwe m babu huko huko amuoe binti wa miaka 18 m bichi, mzee akatoa mahari ikachukuliwa ile mahari ikarudishwa kwa aliyemuoa mwanzo, kufika kwa mzee akakuta kuna wake wawili na yeye akawa wa tatu, huko nako akakuta babu mashine haina kazi, dogo akaona kama anagundu...babu anasema ye akioa hajui kuacha..dogo kavumilia mwisho ikabidi anihadithie yaliyomkuta huko, mi nikakausha tu nakula zangu popcorn nacheki picha linaendaje maana nilimtolea posa wakachomoa cna kitu, dogo karudi bongo..wamempiga na jinni juu....so unapozungumzia kuoa ama kuolewa na mtu usiyemjua vingatia vigezo na masharti
Sent using
Jamii Forums mobile app