Ok basi usijali wanyamwezi watakuja kukupa taatibu za kwao . Nakutakia kila la kheri mkuuni mnyamwez but ndo wale waliokulia mjin
hahahaha sawa mkuu. Nijuavyo mimi huwezi kuchanganya taratibu za kihaya na kisukuma au kichaga na kimakonde. Ndio maana nikatangulia kukuuliza je unaoa kabila gani. Anyway wanaojua taratibu mchanganyiko watakujuza na pia njia rahisi ni kumuuliza mchumba wako aende akakuulizie kwao . Maana huenda familia simple haina makuu, au ni familia inayofuata mila hata kama iko mjini. Naamini mwenye msaada mzuri ni mchumba wako. Kwani si vema kujifanya mjuzi kabla hujapeleleza kwao wangependelea taratibu zipi.poa ila nilitaka kupata utaratibu kwa ujumla na sio specific kwa kabila
hahahaha sawa mkuu. Nijuavyo mimi huwezi kuchanganya taratibu za kihaya na kisukuma au kichaga na kimakonde. Ndio maana nikatangulia kukuuliza je unaoa kabila gani. Anyway wanaojua taratibu mchanganyiko watakujuza na pia njia rahisi ni kumuuliza mchumba wako aende akakuulizie kwao . Maana huenda familia simple haina makuu, au ni familia inayofuata mila hata kama iko mjini. Naamini mwenye msaada mzuri ni mchumba wako. Kwani si vema kujifanya mjuzi kabla hujapeleleza kwao wangependelea taratibu zipi.
ni mnyamwez but ndo wale waliokulia mjin