Tuacheni roho mbaya jamani, Tusaidiane

Tuacheni roho mbaya jamani, Tusaidiane

Kuna watu wana uwezo. Na ni ndugu zako. Unaweza kuwa una shida wasikuulize wala wasikusaidie. Ila siku ukifa watakuzika kwa gharama sana.
Hivi ndivyo weusi tulivyo.

Unaweza waomba msaada wa mtaji ila wasikupe
 
Rafiki yako alipata kazi 2018, wewe ulipata kazi mwaka gani mpaka umeweza kuwasaidia watu 5 kupata kazi permanent?
Je, hao uliowasaidia wamepata fursa ndani au nje ya ofisi unayofanyia wewe?.
Nijibu haya maswali ndipo nikupongeze au nikuulize swali langu.
Nasikia harufu ya utapeli.
 
Sijawai tapel mtu mimi, unajua nafanya kaz gan? Au una comment tu from no where
 
Oya wakuu hali ni ngumu sana mtaani, nimefanya interview kibao hola! sasa nahangaika na biashara ndogo ndogo nazo ni 'ngumu 'kweli kweli! Wenzetu waliotusua wanatucheka kijino pembe
 
Nami bado natafuta ajira tenda wema Mungu atakulipa haujui mbele ya safari yule uliye msaidia akaja naye akakusaidia
 
Pole sana...

Tenda wema uende zako, atakayekulipa Mungu... usipolipwa usilete majungu...

Toa bila kukumbuka...

Cc: mahondaw
 
Tatzo sisi binadamu Ni wasahaulifu mno
Ila pia sio kila mtu anamoyo wa kujitolea..
Mungu akujalie ulipopungukiwa brother , watu Kama nyie mmebaki wachache mno
 
Back
Top Bottom