Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,491
Good morning Jf!!
Kuna msemo huwa unasema maisha ni kama duara tunazunguka na tutakutana. Thread hii inawahusu wote wenye tabia kama hizi. kuna watu wengi kwenye jamii zetu wakifanikiwa huwa wanasahau walikotoka % kubwa ya waafrica tupo hivi to be honesty.
Since naanza 1st year nilikua na brother wangu wa kitaa ambae yeye alikuwa amegraduate chuo, alikuwa hana kazi wala mishe yoyote. Kipind hicho alikuwa ananiomba sana vocha, pesa za nauli kwenda kufanya interviews nk. Ofcoz nilikua nampa sana namsaidia. Mwaka 2018 alipata kazi kwenye taasisi kubwa hapa nchin binafsi nilikua sijui kama amepata kazi lakini nilisikia kwa wana kitaa jamaa kala shavu na alikuwa kashakata mawasiliano na mimi muda. Nilijaribu sana kumtafuta lakini alikuwa hapokei simu, mara akwambie yuko busy na hakutafuti ila insta anapost, whatsapp nk nikapotezea.
Wanangu wengi tu walionitangulia kupata kazi walichange kabisa walikata mawasiliano ni wana wachache sana ambao tulikuwa pamoja. Kibaya kinauma sana kuna mtu nimemsaidia sana chuo bila mimi angekua alidisco nimesave sana kwenye tests, UE amepata kazi kwenye Organization huko KENYA ina deal na projects kanipotezea wtf?? Hawa ni mfano tu ila wapo wengi.
Narudi kwenye thread, mnajua huku kwenye kampuni, Organizations kuna kazi nyingi hata part time huwa zinatokeaga na wengi ambao huwa wanajulishwa ni wafanyakaz walete watu haraka, lakini utakuta rafiki yako anajua fika kabisa huna kazi ila anaona kinyongo kukupa hio fursa.Mfano mimi mpaka sasa nimesaidia watu5 wamepata permanent jobs. Ukisha kuwa kwenye system ya ajira kupata connections ni easy sana coz kuna meetings, seminars tofauti na mnakutana na watu tofauti.
Tuache roho mbaya jiulize umesaidia watu wangapi mpaka sasa? Ukiwa na roho ya dizain hii huwezi fanikiwa hata siku moja. Kumsaidia mtu sio kumpa pesa au kumpa offa za bia kila siku bali msaidie apate kazi hapo umesaidia, tusisahau tuliko toka. Kuna watu wana suffer kitaa years ila siku anapata kazi yenye maslahi na anakuzidi kimaendeleo. Kuwahi pata kazi sio kutoboa maisha kama wengi wanavyodhani ila kutakuwa na magap tu.
Ukiwa na rafiki yako aliyeajiriwa ni sana kukupa connectio wewe hata kama sio leo wala kesho ni rahisi sana ku connekt. Mfano mimi nimeskia kuna mtu anahitajika nikamfata manager/hr nimwambie na mtu anaweza kufit please nipe hiyo chance tunampa mwezi akishindwa kufit tunamtoa unadhan atakataaa? Sio rahisi sema wabongo wengi hatuna roho ya kusaidiana ila tumejaa wivu na roho mbaya.
Mpaka sasa mimi nimesaidia watu wengi tu ila wa5 hawa wamepata parmanent jobs na mmoja yumo humu jf. Na nitaendelea na roho hii hii ya kusaidia wengine no matter what. Mimi nilisaidiwa kupata kazi na mtu ambae nilikutana nae Bar simjui akanitafutia kazi yenye maslahi why me nishindwe saidia wengine? Na siku zote usimtegemee ndugu au rafiki kukusaidia mtu atakae kusaidia ni mwingine kabsa ambae hata humjui...
Mwisho, tusikate tamaa kama huna kazi endelea kutuma maombi ipo siku mambo yatatiki, kila mtu ana siku yake aliyopangiwa na mwenyezi Mungu. Waliokutangulia kupata kazi inajua huwa inauma sana halafu unakuta ndio kakupotezea mazima achana nao fanya yako, kingine ishi kama huna elimu maisha yatakuwa simple sana jichanganye na watu usiogope. Kwenye ma bar makubwa, kanisani huko ndo connection zilipo wengi hatujui tu. NICAY