Tuache utani hivi wastaafu wa EAC hawatalipwa kabisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuache utani hivi wastaafu wa EAC hawatalipwa kabisa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, May 25, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wakuu mbona hakuna anayewatetea hawa wazee?
  Chadema mbona harakati zenu hazigusii suala hili?kimsingi wazee hawa wamepunjwa katika kile walichostahili kulipwa, ni kweli bilioni kadhaa zilizopitishwa na bunge zimetumika kuwalipa hawa wazee?naamini huu ni ufisadi mwingine.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mwenye kumbukumbu atuwekee ni kiasi gani bunge lilipitisha kuwalipa wazee hawa kulinganisha na kiasi walichopata?
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wapiga kura wa ccm waliotupwa!
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wanajanvi kama kuna mwenye data juu ya kiasi gani hawa wazee walikuwa wanadai wamelipwa na kiasi gani kilichobaki wanachoidai serikali tuwekeeni hapa ili tusaidie kulijadili hii kero; hawa wazee wanahangaika sana na pengine kuna wajanja wamechakachua haki yao!!
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nadhani ilikuwa sio chini ya bilion 200(kumbukumbu sio rasmi)
   
 6. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Maskini wazee hawa, bahati mbaya hawa ndo wale wenye kuvaa zile sare zisotakiwa Nyamongo! Magamba yamewaganda.
   
 7. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sasa hivi wameanza kujua ubaya wa magamba!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Naona bajeti hii haijawatambua kabisa.
   
 9. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wanangojea kampeni za 2015 kisha wajaribu tena kulala barabarani.
   
Loading...