Tuache utani! Django Framework nimeikubali

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Baada ya kujifunza Python miaka kadhaa iliyo pita nikaona si vibaya nikajaribu web developement!

Na framework zilizokuwa akilini mwangu ni flask na Django! Mwisho wa siku nikaona nijifunze django!

Nimetengeneza a simple application kwa ajili ya kuhifadhi data kwenye database na binafsi nimevutiwa sana na django!

Kwa kifupi naona kama haina mpinzani! Au ni mimi ndio sielewi?

Je wewe unaionaje django? Nini maoni yako?
 
Baada ya kujifunza python miaka kadhaa iliyo pita nikaona si vibaya nikajaribu web developement!

Na framework zilizokuwa akilini mwangu ni flask na django! Mwisho wa siku nikaona nijifunze django!..
Kwa upande wa Python haina mpinzani. Flask naona kma haiendelei sana. Kwa JavaScript ndo kuna madude yenyewe yaani. Akina Node.js, Vue.js, Angular ukipiga mixer na database basi vitu vinasimama
 
I don't think so, but welcome to nodejs, javascript on the server 😀
 
Na framework zilizokuwa akilini mwangu ni flask na django! Mwisho wa siku nikaona nijifunze django!...
Usikose hapo, hongera kwa safari hii.
 
Kwa upande wa Python haina mpinzani. Flask naona kma haiendelei sana. Kwa JavaScript ndo kuna madude yenyewe yaani. Akina Node.js, Vue.js, Angular ukipiga mixer na database basi vitu vinasimama
Ila node.js huezi ifananisha na django...

Vue na angular unaeza unganisha na django lakini.. at the front end..
 
I don't think so, but welcome to nodejs, javascript on the server 😀
Nilijaribu kujifunza JS niliona kama sielewi kitu... (by that time nlitokea kwenye ulimwengu wa java)

Ila nilipogusa python japo sikuenda deep sana ila niliona naelewa bila shida..

Na ukizingatia python ina wide application!!

Ila badae naeza rudi kwenye js nikianza kusoma front end... au kama nikiona vipi ntaenda na typescript ili niunge angular!!
 
Nilijaribu kujifunza JS niliona kama sielewi kitu... (by that time nlitokea kwenye ulimwengu wa java)

Ila nilipogusa python japo sikuenda deep sana ila niliona naelewa bila shida.
yeah mzee kutengeneza web app nzuri javascript au framework zake ni muhim, kama upo fresh kwenye javascript basi nodejs haitokupa shida, hata izo flask,django at somepoint utatumia HTML, CSS,javascript, etc...
 
Ni upcoming frame work. But inakuja kwa kasi sana. Binafsi mm ni angular js fan. But django naicheki kwa.jicho la mbali.
 
Correction. Html na css ni supportive points. But main function ziki kwenye django framework.
Django bado ni mpya.. still iko kwenye development but so effective
 
Mkuu pamoja sana!! Nataka nikomae na django mpaka nione mwisho wake...
Sawa pambano liendelee, mwisho wa siku uwezo wa kufix bugs, kuunda na kusaidia watu/company kwa malipo au vinginevyo katika nyanja hii mujadarabu kuwe ndani ya uwezo wako.
 
Ni upcoming frame work. But inakuja kwa kasi sana. Binafsi mm ni angular js fan. But django naicheki kwa.jicho la mbali.
Jango is cool tena ukitumia na postgres maisha murua kabisa!

Angular naikubali kiana na kama siku nikianza kusoma front end ntaiangalia vizuri.

Naipenda kwa sababu ya typescript as pure js naona kama inanishinda!!
 
Wataalam wa JS wenyewe wanasema bado kuna vitu vinawapiga chenga
 
Correction. Html na css ni supportive points. But main function ziki kwenye django framework.
Django bado ni mpya.. still iko kwenye development but so effective
Lakini kwa utafiti niliofanya naona kama django ina zaidi ya miaka 10 na ilikua moja ya frameworks chache sana zilizokuepo mwaka 2005 au 2007 kuja juu.

So sidhan kama django ni mpya as u said... atleast ukisema laravel ni mpya kidogo italeta maana ila si django!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…