Tuache usanii wa kuvaa barakoa

Wakati wote sisi ni watumwa wa fikra, unafanya jambo kumfurahisha mtu
 
 
Kuna ofisi huingii bila barakoa
Lazima ununue maana zinauzwa hapo hapo. Ukiingia ndani wenyewe hawavai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…