Tuache Unafiki!

Salvatory Mkami

Senior Member
Apr 17, 2013
146
244
Hivi leo hii ndio tunagundua kwamba mchanga wenye dhahabu huwa unasafirishwa nje ya nchi?!

Hapo baadae tusijesema tulikuwa hatujui kwamba katika sekta madini nchi inapata 3% na wawekezaji wanachukua 97%!

Tuache unafiki na kutafuta umaarufu kwa mambo ambayo tumeyasababisha wenyewe kwa sera zetu mbovu ilihali tunayajua matatizo na namna ya kuyatatua matatizo husika!
 
Back
Top Bottom