Tutafute hela?Tafuta hela kuwa busy
Sio Rahisi mwanasiasa amletee mtu mwenye maisha Yake Safi chumvi na kofia
Mtaji wa mwanasiasa ni watu waliopoteza matumaini .
ZifateTutafute hela?
Mbona hizo hela wamezificha ughaibuni ina maana tuzifate huko ughaibuni?
Nipe nauli nizifate then nkizipata nikupe na gawioZifate
Fata nauliNipe nauli nizifate then nkizipata nikupe na gawio
Nitumie anuani ya GPS nije kuchukuaFata nauli
Umeandika vyema sana saaanaNimejiuliza sana tena sana kwa nini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?
Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tshart na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura huhamia Dodoma na Dar kula bata huku wakiwaacha wapiga kura waliowahonga chumvi na sabuni.
wakibaki maskini milele!
Baada ya miaka 5 hurudi tena jimboni kuhonga vijizawadi hivyo hivyo na wakishapewa kura huhamia tena Dodoma na Dar bata.
Kwa nini tumekubali kuwa wajinga miongo na miongo?
Tushikamane wandungu tuukatae huo ujinga.
Umelingundua hilo yakhe 😂Leo unatema madini matupu...
Aisee Figo zangu umenikoshaa sanaaNimejiuliza sana tena sana kwa nini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?
Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tshart na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura huhamia Dodoma na Dar kula bata huku wakiwaacha wapiga kura waliowahonga chumvi na sabuni.
wakibaki maskini milele!
Baada ya miaka 5 hurudi tena jimboni kuhonga vijizawadi hivyo hivyo na wakishapewa kura huhamia tena Dodoma na Dar bata.
Kwa nini tumekubali kuwa wajinga miongo na miongo?
Tushikamane wandungu tuukatae huo ujinga.
Wewe wafikishie wawili na wawili wawafikishie wawili, mwisho wa siku Taifa zima litakuwa limeelimika na kubadilika.Nimejiuliza sana tena sana kwa nini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?