Tuache siasa

actus

Senior Member
Joined
Oct 7, 2011
Posts
104
Reaction score
24
mwanasiasa akizindua mradi wa maji anafungua bomba la maji kisha ananawa mikono kuashiria imezinduliwa rasmi.
sasa swali langu mwanasiasa akiwa anazindua choo anafanyaje ? tuache siasa, AU anazindua kondomu,
 
Haaaa haaa haaaa, itabidi aingie na waandishi choon akate gogo live ili kuzindua chooo!
 
Dah shughuli kuzindua kiwanda cha kondom,...
 
Ungekua Wewe Ungefanyaje?
kwasababu ombi ni kuacha siasa nadhani wafike waflash maji chooni na kama choo ni cha shimo amwage maji kuonesha ukimaliza kukata gogo jitawaze,si wanapenda siasa
 
hahaaaaaaaaaaaaa hii kali sasa akate ishu mbele ya waandishi kuonesha uzinduzi na kama ni condom acheze salaama mbele ya waandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…