Tuache mizaha sehemu za kazi na wakati wa kutimiza majukumu yetu

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Mtangazaji wa BBC Maryam moshiri ametukana ulimwengu bila kukusudia baada ya ku onyesha middle finger đź–• wakati wa kuripoti habari mbalimbali.

Chanzo ni kwamba alikuwa akitaniana na timu yake ya habari ambayo ilikuwa off air, Bila kutarajia.
🚫Video ipo chini👇

BBC's Maryam moshiri accidentally flashed the middle finger, turning a regular news day into an unexpected viral sensation.

Caught off guard while joking with her team, moshiri's playful countdown went live. Showcasing a lighter side of news broadcasting.

Her quick shift to professionalism highlights the unpredictable nature of live TV.

An innocent jest turned viral, reminding us as a human
, homorous side of those who bring us daily news.

 
Back
Top Bottom