hindikwetu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 251
- 86
Katika mfululizo wa matukio mabaya ya mauaji na mengine hapa Tanzania, uchunguzi wake umekuwa ukitanguliwa na matamko mengi yenye malengo ya kupata kiki kisiasa.Hii tabia inapoteza dira kamili ya wachunguzi wa idara ya usalama,mtu anashambuliwa, watu wanauawa kama kule kiburi, mwanasiasa unatokea na kauli za tunawajua wahusika, na hawataki, ama hiyo ndo miruzi mingi ya kupoteza mbwa katika ukweli halisi? Ama ni kwa nini kuna hii tabia ya kujiwahi kutoa majibu rahisi katika maswali magumu na nini kifanyike? Idara ziachwe zifanye kazi bila kutafutiwa majibu?