tuache kuwapigia kura wasanii

tuache kuwapigia kura wasanii

kombati

Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
38
Reaction score
9
kwa muda mrefu sana watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwapigia kura wagombea ambao huongozana na wasanii katika kampeni zao...tumepigia kura burudani za TOT chini ya komba na khadija kopa, TMK wanaume Family, Bushoke, Marlaw, Dimond..nk..ushauri wangu...2015..tupigie kura sera na umaridadi na uwezo wa viongozi kuongoza kivitendo badala ya kuchanganywa na burudani za wasanii amabo huwapa sapoti wasanii wenzao....:spy:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom