Hawana kitu hawa watu ni choka mbaya.Wanatumia nguvu kubwa sana ku weka picha za magari, party, kurusha pesa, n.k.
Mkuu Netmaster nakubaliana nawe kitu kimoja kwamba bado biashara za kiteknolojia kama vile kutengeneza App hazilipi kabisa. Ila ukitumia mtandao kuji-brand na kutangaza biashara yako itakuletea matokeo kirahisi sana. Kwa mfano kama ni mkulima ukaamua kweli uko serious na huna longolongo basi mitandao itakufikisha mbali.Wanatumia nguvu kubwa sana ku weka picha za magari, party, kurusha pesa, n.k.
Fursa za online zinalipa sana, sanaaa!! lakini kwa Tanzania bado sanaa, sanaaa!!Mkuu Netmaster nakubaliana nawe kitu kimoja kwamba bado biashara za kiteknolojia kama vile kutengeneza App hazilipi kabisa. Ila ukitumia mtandao kuji-brand na kutangaza biashara yako itakuletea matokeo kirahisi sana. Kwa mfano kama ni mkulima ukaamua kweli uko serious na huna longolongo basi mitandao itakufikisha mbali.
Kama una ujuzi ni rahisi sana kupata pesa kupitia blogging na youtube.Wengi wapiga domo tu huko online hawapati hata hela ya vitumbua ila utawaona wanashawishi watu wafanye ila maisha yao magumu sana
Hio ya airtel tunaweza kuiweka kundi la uwakala, na kwakweli wapo mawakala waliowahi kuotea hizi ishu wamepiga aisee! Kuna moja anajiita kaga huko twitter alichapa milioni 80 zile vocha za airtel uni akajiroga kwenda kuwaambia airtel wamrahisishie iwe kwa wanampa namba za vocha sio vocha za kukwangua.Me mwenyewe ni mhanga wa ishu za online, nimepiga ishu nyingi Sana , Nina account fiver, Upwork, Windsor brokers , affiliate marketing nazo nimezipiga...
Na nidhamu ya pesa huwa ni ndogo sana kundi hili sijawahi kujua kwaniniBongo ujuaji mwingi sana. Asilimia kubwa ya vijana hawataki kujishughulisha wakishatoka vyuoni badala yake wanaanza mambo ya wizi wa mitandaoni mwisho wanakuwa Wauza ODDS, wauza accounts za youtube magemu na kadhalika yani kiufupi wanajifunza mbinu zautapeli zakila namna.
Wanunua Odds wameshapigwa sana na wale waliolizwa kimtandao wanaelewa . na ndio haohao vijana wa vyuoni waligundua "ILE HELA ITUME KWENYE HII NAMBA...."
Kama mtu anaweza kumake milion moja hadi 3 kwa mwezi ni sawa tu maana hata kazi za kawaida hazilipi hivyoKaka millard ni exception, katoka mbali sana huyu.
Nimekuwa nikiona baadhi ya vijana hasa hawa wa chuoni na wahitimu wenye kujua jua kutumia vilaptop wanapotoshana mambo ya youtube, blogging, sijui app, adsense, n.k. kwamba kuna pesa
Ni kweli haya mambo kwa wenzrtu huko yanalipa na watu wamebadili maisha lakini kwa bongo hii Bin No!
Kwa bongo kutoboa online ni ngumu sana, utaona tu picha zao insta ila maisha halisi ni tofauti sana, ukifatilia wale wenye nazo wanaona aibu hata kuweka wazi jinsi wanavyozipata (kushare picha za uchi kwenye account za fb wanazoziiba, kufoji vitambulisho kutapeli watu, tuma kwa ile namba, ponzi schemes, n,k).
Ni heri ufanye kilimo, tunawaona watu wamechana msamba.
Ni heri ufungue mgahawa, tunawaona watu wana range zao za milioni 200
Ni heri ufungue duka lako la hardware, mdogomdogo una grow ndani ya miaka 10 kuna chance ya kufika mbali
Walizwe mara ngapi tena mbona wanaliaWapo MFTE wanakuambia MFTE Make Life Better sio muda watalizwa hawa Mazuzu.