Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,434
- 14,898
Wasukuma tumekukosea nini weweWanaume wa kinyakyusa wasukuma kwenye wasukuma ni Kanda ya ziwa Kwa ujumla wanapenda wanawake weupe sijui wanashida gan na weupe wa mwanamke
Ah kumbe wee sio kataa ndoa π€£π€£π€£π€£Nina Mke chotara Mkuu.
Sio hawa machotara pori
Uwongooo hamna black beauty wewe. Wazuri ni weupe tuu π€£π€£π€£π€£
Aiseee kumbe...ebu ngoja nijaribu ngozi nyeusi
Na rangi ya kenge maji pia sio mbaya πRaha ya rangi iwe ya asili Kama binti kiziwi, Nifah na Angel Nylon
Ila hata rangi ya nusu albino Half american sio mbaya kivileπ
HAsa ma kenge maji weusi ka weweNa rangi ya kenge maji pia sio mbaya π
Kwahyo sio nusu albino tena n mweusiHAsa ma kenge maji weusi ka wewe
ππππ ilimradi tu umtanie shemeji yangu ππRaha ya rangi iwe ya asili Kama binti kiziwi, Nifah na Angel Nylon
Ila hata rangi ya nusu albino Half american sio mbaya kivileπ
Yule ni kenge nusu albino Half american the manara π€£πππππ ilimradi tu umtanie shemeji yangu ππ
Bora shem useme weweππππ ilimradi tu umtanie shemeji yangu ππ