Wadau kwa yeyote aliyepata a job offer letter zilizo anza kutolewa tar 31 mwez wa 8. Vip m,meshatumiwa barua ya kwenda training, kwa anaejua msaada please!
Wadau kwa yeyote aliyepata a job offer letter zilizo anza kutolewa tar 31 mwez wa 8. Vip m,meshatumiwa barua ya kwenda training, kwa anaejua msaada please!
oh, kumbe we umeshatumiwa job offer letter? Na ambao hatujapata hdi leo ndio tuhesabu tumekosa eeh? Alafu kuna jaama alitumiwa hiyo job offer letter mwanzoni mwezi wa 7 lkn mshahara ulioandikwa ni tofauti na ule walioweka kwenye matangazo, wewe ya kwako inasemaje mkuu?
Sasa kwa hiyo mwenye degree analipwa ngapi? Jamaa hajaitwa ila alipouliza training ni lini akaambiwa kaz itaanza mwezi wa 10, ila baadae wakamterminate, kwa hiyo ile barua ikawa invalid. Kwani na wewe kwenye hiyo barua si wamekuambia unaweza kuondolewa bila kupewa sababu?